Home
Unlabelled
Nyundozz yatembezwa nyumba za kota za Magomoneni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bongo ilipendeza kuwa na maeneo ya wazi kama hayo bila hata mambo ya kupita barabara
ReplyDeletenakumbuka zamani kulikuwa na viwanja au maeneo ya wazi mengi pale shule ya uhuru mchanganyiko kulikuwa na maeneo ya wazi na badae yamejengwa
kidongo chekundu siku yoyote utasikia kumejengwa kama hakujajengwa mpaka sasa
na badae utakuja kusikia viwanja vya mnazi mmoja pale kidongo chekundu vinajengwa
ili bango limeanza vizuri kwa lugha ya kigeni,cha ajabu limeishia kwa lugha ya nyumbani,hii ni dalili kwamba hizo nyumba zitajengwa kwa mtindo huo huo.teh! teh!
ReplyDeletesasa wenye nyumba zao wamelipwaaa!!??
ReplyDeletebull shit wote waliopata ukimwi ni kwa kupenda ngono? Tangazo la unyanyapaa kabisa.
ReplyDeleteMdau wa tatu Anonymous wa Sat Feb 11, 12:44:00 AM 2012
ReplyDeletewenye nyumba zao walishalipwa kitambo tu, isipokuwa kwa tabia yetu ya Mipango si Matumizi unaweza kukuta mtu badala ya kwenda Mbweni Mibuyuni makazi mapya au Chanika Kijijini kwa Fundi Baiskeli anahamia Bondeni Jangwani anajenga!
HALAFU ANAKUJA KILAUMU CHAMA NA SERIKALI!
Ukimwi zaidi ya 9O% unaambukizwa kupitia kwenye kufanya mapenzi na mwathirika,acha kuuonea aibu ugonjwa huu balaa,unataka kuturudisha tena kule kwa "amerogwa",nk
ReplyDeleteDavid V
Tangazo la kampeni dhidi ya ukimwi limekosewa a haliwezi kufanikisha lengo la kuzuia ukimwi. Ninafikiri limeandikwa na mtu ambaye amechoka au hapendi ngono. NGONO ni mojawapo ya mahitaji ya msingi (kibayolojia na kijamii)ya binadamu kama ilivyo UGALI au WALI. Kwa hivyo ni haki kabisa binadamu ye yote kuipenda kama anaipenda. Tangazo sahihi lingesisitiza tu watu kufanya NGONO SALAMA!!
ReplyDeleteBAADA YA KUZIBOMOA HIZO NYUMBA HII NI NAFASI NZURI KULIACHA HILO ENEO WAZI, KUPANDA MITI NA KUTENGENEZA BUSTANI YA KUPUMZIKIA WANANCHI. INAONEKANA UTAMADUNI KAMA HUO HATUNA NCHINI. KAZI YETU NI KUJENGA JENGA TU NA HATUFIKIRII KUTENGA SEHEMU ZA KUPUMZIKIA. VIONGOZI WETU WANATEMBEA SANA ULAYA NA WENGI WAMESOMA AU KUISHI HUKO. HIVI HII MIFANO HAI WALIOIONA HAITOSHI KUTOA FUNDISHO KWAO ILI KUTENGA MAENEO YA KUPUMZIKA? VIPI WADA?
ReplyDelete