Home
Unlabelled
Taswira za Kimara na Ubungo jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ilikuwa ni siku gani ya wiki...mbona sioni mnyororo?
ReplyDeleteHivi huu ujengaji wa mabarabara na ma mifereji mikubwa ya maji (tena iliyowazi)ndio ujenzi gani huu?
ReplyDeleteAisee Tanzania imejengeka banaaa, ona hilo jiji utafikiri Loss Angeles marekani!!!! Nafiri hapa kuna kapolitiks ndani yake nimekushtukia ankal, tuletee picha ya manzese basi tuonishe! Hapo barabara bado inaonekana very finyu kunatakiwa kuwe na high ways na undergraound kama kuna hiyo jeuri! Pamoja na vikwangua anga vinavyokua kwa kasi lakini wananchi wanaendelea kuishi katika hali ya umaskini! less than a $$ per day! Bongo ni nzuri kuangalia kwa macho lakini wachache ndo wanafaidi!
ReplyDeletekuanzishwe sheria ya wapi magari makubwa yanatakiwa kupita na wapi hayapi.. ili kuongeza taswrira nzuri ya jiji pamoja na kupunguza foleni pia kuimarisha barabara.
ReplyDeletesiku hiziz asubuhi hamna nyororo,ngoma zinateleza kama vile hazipo DAR.
ReplyDeletetehe tehe!!!!!!!! haijawahi tokea mdau wa kwanza always ni mnyororo tu. Au kuna msafara wa mkuu ulikuwa umepita ndio maana picha ikawa hivyo.
ReplyDeleteHii itakuwa katikati ya wiki, tuna mwezi sasa hakuna foleni kabisa si asb wala jioni na kama ikiwepo ni kidogo sana na inatembea jeshi la polisi wanasitahili pongezi sana hasa ma traffic kama ni mafunzo yamewaingia vizuri sna, tunaomba waendelee hivyo hivyo.
ReplyDeletesafi sana sema chonde chonde wajemeni hiyo mitaro ya maji machafu serikali ifanyieni mpango wa kuiziba kwa juu itasababisha ajali nyingi sana
ReplyDeletesasa gari hii inatafuta nini kwenye njia za watembea kwa miguu ndiyo maana sheria za barabarani hazifuatwi madreva wanaendesha magari ovyo ovyo
ReplyDeletemiji yetu imekaa vizuri sana na serikali imejitahidi kuipanga vizuri, lakini tatizo lipo kwa wanainchi kutunza mazingira yake, kama hapo ukiangalia taswira kwa mbali utaona unavutia, ila kwa karibu unaweza ukakasirika jinsi mazingira yalivyo machafu na hayana mvuto kabisa. wanainchi tujitahidi kurekebisha tatizo hilo, bila ya sisi hata mji uweje hautovutia kamwe.
ReplyDeleteMdau uliyesema kulikuwa kuna msafara wala haujakosea. Picha zote zinaonyesha kuna matrafiki, angalia vizuri picha ya KIMARA, mbele ya shangingi leupe kuna landrover ya MATRAFIKI wa2 wamesimama, kulia kuna pikipiki ya ya trafiki imezuiwa na shangingi leusi, na upande huo huo mbele kuna landrover ya kina RAS Makunja!!
ReplyDeleteTukirudi kwenye picha ya ubungo ndio hivyo hivyo, angalia kwa makini upande wa kushoto kuna trafiki wamesimama nyuma ya landrover, shangingi leupe nyuma yao na pikipiki mbele yao.
Ni kosa la jinai hiyo sehemu ikose foleni kihivyo. Hii CHANGA la MACHO!!!
Hali ngumu ya kiuchumi no money wese inapanda kila siku magari yameegeshwa majumbani! Hadi hapo hali ya kiuchumi itakapokuwa shwari nchini. Hapo bwana hakuna cha trafiki wala nini.Tunapanda dala dala kwa kwenda mbele na nauli itapanda hivi karibuni.
ReplyDeleteWatu wamepaki magari....maisha magumu kumudu gharama ya mafuta si mchezo ndio maana siku hizi hakuna foleni. Mkisikia watu wanalalamika maisha maugumu mnafikiri uongo????
ReplyDeleteSi rahisi kukosa foleni.Hapa ukiangalia taswira zote 2 utaona mpiga picha yuko katika msafara ambao una ving'ora na unaongozwa na pikipiki za Polisi, Pickup na Landcruiser ya Polisi. Hivyo Polisi walikuwa wanasafisha njia ndio maana hakuna magari mengi na kuonesha foleni
ReplyDeleteWewe anomy Fri Feb 17, 09:17:00 PM 2012,kama ulipita sekondari nadhani ulikuwa mzuri sana kwenye somo la Jiografia upande wa picha..Uko sawa aliyepiga picha alikuwa kwenye msafara,mimi mwenyewe nilikimbilia kuangalia magorofa kwenye 'Background' sikuweza kuziangalia kwa umakini hizi picha hadi ulipobnishtua.Asante sana mdau kwa uchunguzi wako-nimeupenda
ReplyDeleteDavid V