Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua BALOZI LIBERATA R. MULAMULA kuwa MSAIDIZI WA RAIS MWANDAMIZI, MASUALA YA DIPLOMASIA.

Kabla ya kuteuliwa kwake Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR).

Uteuzi huu unaanza tarehe 28 Februari, 2012.
Mwisho.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
14 Machi, 2012 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hongera sana Mama, Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mhe.Mulamula bosi wangu wa zamani DMC.

    ReplyDelete
  3. Prosper MinjaMarch 14, 2012

    Mhe. Balozi unastahili nafasi hiyo! Hongera sana! Pongezi kwa Mhe. Rais kuutambua uwezo wako mkubwa!

    ReplyDelete
  4. HONGERA SANA BALOZI.WANAWAKE NA MAENDELEO

    ReplyDelete
  5. Safi sanaaaaa! Nimefurahije!

    ReplyDelete
  6. Hongera sana dada Liberata. Mungu akuongoze katika shughuli zote ambazo umezianza. Kila mara Mtangulize Mungu. Na pia namshukuru Bw. Mulamula na azidi kukupa moyo maana ndiye ubavu wako.
    mary

    ReplyDelete
  7. Mwenyezi Mungu akuongoze kwa yote dada Liberata na Bw Mulamula ambaye ni ubavu wako

    ReplyDelete
  8. Big up mama Liberata Mungu akujalie kwa yote.

    mary

    ReplyDelete
  9. hongera dada Liberata Mungu akuongoze kwa yote pamoja na Bw. Mulamula maana ndiye anayekuamsha kwenda kazini - nawapa Big - up

    ReplyDelete
  10. Hongera sana, chapa kazi ya kumshauri Rais vizuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...