Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua BALOZI LIBERATA R. MULAMULA kuwa MSAIDIZI WA RAIS MWANDAMIZI, MASUALA YA DIPLOMASIA.Kabla ya kuteuliwa kwake Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR).
Uteuzi huu unaanza tarehe 28 Februari, 2012.
Mwisho.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
14 Machi, 2012


Hongera sana Mama, Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
ReplyDeleteHongera sana Mhe.Mulamula bosi wangu wa zamani DMC.
ReplyDeleteMhe. Balozi unastahili nafasi hiyo! Hongera sana! Pongezi kwa Mhe. Rais kuutambua uwezo wako mkubwa!
ReplyDeleteHONGERA SANA BALOZI.WANAWAKE NA MAENDELEO
ReplyDeleteSafi sanaaaaa! Nimefurahije!
ReplyDeleteHongera sana dada Liberata. Mungu akuongoze katika shughuli zote ambazo umezianza. Kila mara Mtangulize Mungu. Na pia namshukuru Bw. Mulamula na azidi kukupa moyo maana ndiye ubavu wako.
ReplyDeletemary
Mwenyezi Mungu akuongoze kwa yote dada Liberata na Bw Mulamula ambaye ni ubavu wako
ReplyDeleteBig up mama Liberata Mungu akujalie kwa yote.
ReplyDeletemary
hongera dada Liberata Mungu akuongoze kwa yote pamoja na Bw. Mulamula maana ndiye anayekuamsha kwenda kazini - nawapa Big - up
ReplyDeleteHongera sana, chapa kazi ya kumshauri Rais vizuri.
ReplyDelete