Dr. Engineer Shabani G Kachua akijiandaa kuingia kwenye Professional Engineer Induction Ceremony nchini Canada
Hapa Dr. Kachua akionyesha moja ya Nishani aliyotunukiwa siku hiyo
Dr Kachua akiwa amesimama kwa nyuma na Mainjinia wenzake
Akipiga picha ya pamoja kwa kumbukumbu na mainjinia wenzake.Kwa niaba ya Watanzania ninapenda kukupongeza kwa kuipeperusha vema Bendera ya Tanzania
Eee bwana wee Shaban si ulikuwa Phonex?
ReplyDeleteBwana Shaba Kachua.. Hongera sana kwa hatua kubwa na nzuri na yenye kufurahisha na kutia changamoto kubwa sana.
ReplyDeletesisi tupo pamoja na wewe ila tu usije ukawasahau wale wa nguvumali na kisosora kule kwenu kwa WAGHOSI -TANGA.
Shirima
Hongera sana Dr Kachua, ni matumaini yangu kuwa utakapoamua kurudi nyumbani utakuwa na malengo ya kuendeleza taaluma ya uhandisi na kuutumia utaalam kwa faida ya Taifa.
ReplyDeleteMjengoni tuachieni sisi.
Mdau
Kachua I'm proud to call you a brother! Big up!- Dj
ReplyDeleteSafi sana doctar Kachura, fanya fanya urudi bongo uje tuijenge nchi yetu. Usiishie huko kubeba mabox kama wataalamu wetu wengine.
ReplyDeleteHongera Eng. Shaaban G. Katua!
ReplyDeleteMzimu mkubwa unaotusumbua nchini ni kuwa Wanataaluma wengi hawapo kwenye Muundo wa uendeshaji wa mambo ,
1.Mfano wengi wanatumika nje ya nchi, waliopo nchini hawashirikishwi ipasavyo ili kutoa mchango wao nchini,
2.Huku wengi 'Wakibatizwa' na kuingizwa ktk Siasa (kama Ubunge) badala ya kuendelea na Taaluma zao kitu kinachosababisha mambo mengi nyeti kuendeshwa na Wanasiasa au kuwa mikononi mwa WANASIASA badala ya WANATAALUMA.
Asalale bora Injinia Shabani Kachua abalie huko huko Canada akiwa ktk Taaluma yake.
ReplyDeleteAkija Tanzania nyumbani, moja kwa moja atavuliwa Ovalori lake la Uinjinia na kuvalishwa Koti la Uheshimiwa ndani ya mwaka mmoja utamuona Bungeni Dodoma!
Ahhh mambo ya Bongo Engineer Shabani Kachua akirudi kutoka Canada hutamwona ng'o ktk Karakana au Kiwanda, Utamwona Bungeni au Wizarani!
ReplyDeleteWewe huyo habebi boxi huko anafanya kazi ya Profession aliyosomea na kachapewa uraia na kanunua na nyumba haji huku bongo kufanya nini serikali yenyewe wachawi tu huku.
ReplyDeleteTanga Line, Changa Primary School... Safi saaana Dr. Kachua
ReplyDelete