Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika hoteli ya Courtyard jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile akionesha kadi ya uanachama wa heshima ya chama hicho ambayo Rais Kikwete akitunukiwa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka ka Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika hoteli ya Courtyard jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma jarida la Meno Tanzania alilokabidhiwa na Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Dk. Rachel Mhavile mara baada ya kufungua mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma . Jumla ya wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wanahudhuria mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma wakimsikiliza Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo. Jumla ya wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo unaofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa chama cha madaktari wa Kinywa na Meno Nchini Dk. Rachel Mhavile (kulia) na Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Donnan Mmbando baada ya kufungua mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma ambapo jumla ya wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano huo.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka nchi 18 wanahudhuria mkutano wa siku tatu wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na meno katika hatua ya awali ya kupata huduma unaofanyika jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ankal naomba contact details za Dk. Rachel Mhavile..tafadhal ankal usinitupe kapuni nahitaji namba yake ya simu au hata email..!!

    Mdau single/bachelor
    Belgium

    ReplyDelete
  2. aah mdau Wed Mar 14, 08:36:00 PM 2012 mbona unanitaka ugomvi na kujeruhi hisia zangu. Ankal please hiyo namba ya Dk.Rachel Mhavile nilishaiwahi kabla ya huyo mdau umebana tu comment zangu. Tafadhali sana ankal ni-inbox ASAP hizo kontakts za huyo binti kabla mafisadi hawajamuwahi.

    Mdau
    Paris

    ReplyDelete
  3. Dr Rachel, congratulations my dear. I'm proud of you.

    Kaka yako.

    ReplyDelete
  4. Kwa kweli kazi ipo naona mnagombea namba ya mtu bila ridhaa yake!!! kila la kheri.

    ReplyDelete
  5. washukuru kwa kuwa mwanawe ni daktari wa meno, so wote hao wawe proud na salama

    ReplyDelete
  6. Wadau hapo juu Belgium na Paris ninyi ndio mtoe e-mail zenu ili Dr.Rachel Mhavile azipitie CV zenu na kuchagua ampendaye au siyo?

    Ng'ombe halazimishwi kunywa maji mtoni!

    Kwa kuwa Blogu ni ya Jamii pamoja na ubize wake Dakitari Mwanamama atapata muda wa ziada wa kuperuzi maoni yenu na akakuta maombi yanayomuhusu akawajibu.

    Yeye Ankal atakuwa ni Mshenga tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...