(PLUS £30 HANDLING CHARGES ONLY NO EXTRA CHARGES)NDEGE ZINAONDOKA KILA SIKUNEXT VESSEL FROM TILBURY SAILS ON 20/04/2012 CUT OFF 16/04/2012NEXT VESSEL FROM SHEERNESS SAILS ON 30/03/2012 CUT OFF 29/03/2012NEXT VESSEL FROM IMMINGHAM SAILS ON 24/04/2012 CUT OFF 20/04/2012SALOON CARS TO DAR/ MBS FROM £7004X4 CARS TO DAR/MBS FROM £780KUANZIA SASA VIFURUSHI KWA MELI ITAKUWA KILA MWEZI KONTENA LITAONDOKA MOJA MWISHO WA MWEZI NA TRANSIT TIME NI 35 DAYS TUMEAMUA KUFANYA HIVI ILI KUBORESHA HUDUMA ZETU NA KUONDOA MAPUNGUFU TULIYOKUWA NAYO HAPO MWANZONI. KUANZIA SASA HAKUNA MZIGO UTAKAOCHELEWA. TUNAWAOMBA RADHI WALE WOTE WALIOATHIRIKA NA MAKONTENA KUCHELEWA HAPO MWANZO.KWA WALE WALIOTUMA VIFURUSHI NASI MWANZO WATAPEWA 50% DISCOUNT KAMA MALIPO KWA MIZIGO KUCHELEWAKuna habari nzuri sana kwa watanzania wote waishio uk zinakuja hivi karibuni kutoka serengeti!giving something back to the community! mfuko wa tusaidiane ! funded by us, for everyone!more details to come, watch this spacekama unataka kuagiza kitu au kufanya booking yoyote tutumie email au tupigie kwenye namba zifuatazo;CHRIS LUKOSI +44 07404279633 & +44 07903828119
Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SERENGETI NIMEWAKUBALI, LETENI HUU MPANGO WA TUSAIDIANE MSAIDIE WAFIWA NA WAGONJWA WASIOJIWEZA MUWE MFANO KWA WATU WENGINE
ReplyDeleteNyie mnatisha, nilishawauliza tena ila hamkujibu, mnaoneje mkiwa na tawi huku Birmingham? Maana kusafirisha mabegi yetu hadi kwenu ni gharama nyingine. Tusaidie pia huku Birmingham
ReplyDeleteFGrankly speaking matangazo haya hayaendani kabisa na uwezo wao. Jamaa niliwaandikia maombi ya kutuma mzigo wangu, wakanijibu wanfuatalia leo hii mwezi wa pili sijawasikia mpaka nimeamua kutumia njia ingine.
ReplyDeleteKujitangaza tujitangaze lakini pia kujitangaza huko kuendane na uwezo wa huduma. Siwezi kuwa-rate kwa huduma zao kwa kuwa hawajanifanyia kitu ila niwapatia very low kwenye customer care. Kama kazi ipo beyond your capability ni bora kusema, kuliko kuingia mitini.