AZAM, YANGA ZAINGIZA MIL 72/-
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Azam lililochezwa Machi 10 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeingiza sh. 72,731,000.
Jumla ya watazamaji 19,339 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo kwa kiingilio cha sh. 3,000 viti vya bluu na kijani, sh. 5,000 viti vya rangi ya chungwa, sh. 10,000 kwa VIP C na B wakati kwa VIP A ilikuwa sh. 15,000.
Baada ya kuondoa gharama za awali za mchezo na asilimia 18 ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ambayo ni sh. 11,303,932.20 kila timu ilipata sh. 14,726,592.20, uwanja sh. 4,908,864.07.
Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 1,963,545.63, TFF sh. 4,908,864.07, Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh. 2,454,432.03, Baraza la Michezo la Taifa (BMT) sh. 490,886.41 na asilimia 10 ya gharama za mechi ni sh. 4,908,864.07.
Gharama za awali za mechi zilikuwa nauli ya ndani kwa waamuzi sh. 10,000, nauli ya ndani kwa kamishna wa mchezo sh. 10,000. waamuzi wa akiba sh. 30,000, posho ya kujikimu kwa kamishna sh. 40,000, tiketi sh. 3,540,000, maandalizi ya uwanja (pitch) sh. 400,000, umeme sh. 300,000, usafi na ulinzi kwa uwanja sh. 2,350,000 na Wachina (Beijing Construction) sh. 2,000,000.
Gharama nyingine ni Jichangie ambayo ni sh. 200 kwa kila tiketi; kila klabu ilipata tena sh. 1,353,730 wakati Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kilipata tena sh. 1,160,340.

Imefikia wakati TFF muanze kuwalinda marefa.Uamuzi wa marefa uheshimiwe.Marefa ni Binadamu kama binadamu mwingine anaweza kufanya makosa vlevile..Haya mambo ya refa kutoka amesindikizwa na polisi yamepitwa na wakati.Nazungumzia mchezo huo wa jana.Jana imekuwa mara ya pili kunatokea fujo uwanja huo.Uwanja una Camera,zitumike ili kukomesha uhuni unaotaka kuanza kuota mizizi sasa.Tumia camera;kamata mtu,peleka kwenye mkono wa sheria.Huko duniani kwingine,shabiki mmoja tu kutoka kwenye watazamaji karibu 60,000 anarusha kitu uwanjani au kutukana mchezaji anatafutwa na akamatwa sisi tunashindwa nini??
ReplyDeleteDvid V
Mchangiaji wa kwanza UMENENA,na la ajabu ni kwamba yaani TFF badala ya kutuhabarisha habari za MPIRA wenyewe na maamuzi yake au na nini kiliyokea,wao wanaona BORA tyaarifa za MAPATO na MATUMIZI,hivi hawa TFF kazi yao ni HELA tu au FUTBOL????hakiamungu mi siamini,nilitegemea nione ripoti ya MCHEZO wa jana na sio MAPATO na MATUMIZI.
ReplyDeleteHapo ndo taiona bongo ilivyo nuksi tunaambiwa watu waliokata tiketi ni 19,000 na ushee, ajabu ni kwamba watu kibao tulishindwa kuingia uwanjani kwa maelezo kwamba tiketi hasa zile za kina sie zimekwisha, WADU KULIKONI?
ReplyDelete