Kikosi cha netiboli cha TBC Queens na viongozi wake wakipozi baada ya kufanya kweli na kutinga nusu fainali za mchezo huo katika kombe la NSSF 2012. Kikosi chao cha soka pia kimeingia hatua hiyo
Wachezaji wa timu ya Netiboli ya IPP na viongozi wao ambao wameonesha mchezo swafi katika michuano hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Dada zangu mnaweza kwa wale ambao ni waislam, mnaweza mkacheza na bado mmevaa mavazi ya kidini.angalieni video hiyo iko kwenye you tube. ni msichana wa kiislam na amevunja record.siandiki hapa kutangaza dini, lengo langu ni kuonesha inawezekana ukavaa mavazi ya kidini, na ukacheza netball.naomba samahani in advance kama kuna mtu atakua offended in any way.si kusudi langu.mdau usa. http://www.youtube.com/watch?v=VEQ7er6ndUw&feature=related

    ReplyDelete
  2. nafikiri tanzania 89% ya wanawake watakua diabetic

    ReplyDelete
  3. Jamani ikiwa hawa wameshindwa kununuliwa viatu inakuwaje kwa walio vijijini? Njia ndefu ipo kufika kule tuendako.........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...