Mhe. Beatrice Shellukindo, Mbunge wa Kilindi akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika kama Mwenyekiti, kushoto kwake ni Afisa Dawati, Bi. Ranny Ismail na Katibu Msaidizi wa Kanda, Nd. Demetrius Mgalami.
Wabunge wanawake wa Jumuiya ya Madola wakiimba wimbo rasmi wa wanawake kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya Wabunge hao ambayo ndio hupanga agenda za kikao cha mkutano wao mkuu pamoja na kupitisha mpango kazi wa mwaka unaofuata. Kutoka kushoto ni Mhe. Jean Kapata, Naibu Waziri wa Masuala ya Wanawake, Watoto na Maendeleo ya Jamii wa Zambia, Mhe. Nomandia Mfeketo, Naibu Spika wa Bunge la Afrika Kusini, Mhe. Beatrice Shellukindo, Kaimu Mwenyekiti wa Kikao hicho, Ranny Ismail, Afisa Dawati wa Kitengo cha Wanawake katika Sekretarieti ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola (CPA), Nd. Demetrius Mgalami, Katibu Msaidizi wa CPA Afrika, Mhe. Shakila Abdallah, Mjumbe kutoka Kenya, Mhe. Mary Hajia Salifu Boforo, Mjumbe kutoka Ghana.
Women’s Anthem
1 All across the nations
All around the world
Women are longing to be free
No longer in the shadows
Forced to stay behind
But side by side
In true equality
Refrain (2x)
So sing a song
For women everywhere
Let it ring around the world
And never cease
So sing a song for women everywhere
Equality, development and peace
2 Women can’t be silent
When all around the world
People hurt and hungry children cry
We will sing out now for Justice and Development
And hold the rights
Of all the people high
So sing a song…..
3 Women now are working
To build a better world
Where the love of peace
Can rest on every shore
Where men lay down their weapons
And learn to love and share
And people work
To bring an end to war
So sing a song……
Very nice, I'll have to show it to my wife. And another tip for all women trying to make money online. You CAN do it!
ReplyDelete