Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwapungia mkono watu waliofika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kushuhudia wakati akikabidhiwa kombe la UEFA jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago kwa Mwakilishi mkazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), BW Oluseyi Bajulaye ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga leo.
Sasa sisi kombe la UEFA la nini ndio maana tunachanganya mpira wa miguu na ngumi pamoja
ReplyDeleteTenga yuko wapi?
ReplyDelete