Wafanyakazi ya ujenzi katika jengo la RITA mtaa wa Makunganya jijini Dar es salaam wakining'inia bila kamba maalumu za usalama kwa wajenzi kama inavyoonekana. Wadau wengi wameeleza kustushwa na kusikitishwa kwao kwa jambo hili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hawana hizo kamba maalum, na wao wanataka kula na familia zao. Kabla ya hizo kamba vibarua walifanyakazi vipi?

    ReplyDelete
  2. Mtoto akililia wembe mpe

    ReplyDelete
  3. wafungwe jala hao wanaotoa ajira na building permit kama hakuna dhana za kufanyia kazi

    ReplyDelete
  4. Nchi za ughaibuni wakibaini kitu kama hicho campuni ya ujenzi inapokonywa kibali chake na kufungwa eneo hilo. SMT mupoooo

    ReplyDelete
  5. mdau wa kwanza unahitaji kumuona daktari wa magonjwa ya akili haraka sana.

    Watu wenye menatlity kama yako ndio wanaochangia sana kuzoretesha maendelea ya mtanzania na kuendelea kuishi katika maisha dhaifu na ya hatari.

    ReplyDelete
  6. hao wanaojiita OSHA wako wapi?Kazi hawana,hapo ujenzi lazima usimamishwe na faini juu.

    ReplyDelete
  7. Kwan si huwa kuna wale wakaguzi wa kiserikali wa masuala ya ujenzi?? Wako wapi? Coz nnavyojua ni lazima mjenzi awe na nyenzo zinazotakikana zikiwemo helmets na zinginezo!

    ReplyDelete
  8. Ngoja la kutokea litokee uone tume,kamati,kikosi kazi,.........na wasiasa watakavyo toa taarifa na maagizo ili muradi waonekane wapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...