Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akimpa mkono wa pole Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Jaji Upendo H. Msuya aliyefiwa na mwanaye aliyekuwa nchini Malaysia, mwili wa marehemu William H. Msuya unatarajiwa kupokelewa leo Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa saa saba mchana kwa ajili ya mazishi, wa pili kutoka kulia ni Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu na Majaji wa Mahakama ya Rufani (T) (picha na Mary Gwera, MAHAKAMA YA TANZANIA)
Home
Unlabelled
JAJI MSUYA AFIWA NA MWANAYE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh poleni sana wafiwa, Uncle Ray Pop junior kwa niaba yangu please nifikishie salam zangu za pole kwa familia yote ya mzee mugamba. I knew billey since he was a little boy pale magorofa ya saruji/interchick and I was your neighbor. Very sad for the loss and may God take care of you throughout this difficult time and I promise to pray for you all. Amen. R.I.P BILLEY.
ReplyDeleteMdau USA
Mungu amlaze William mahali pema peponi Amen.
ReplyDeleteMhe. Jaji Msuya pole nyingi kwako na kwa familia yote. Mungu akutie nguvu na ampumzishe William kwa amani.
ReplyDeleteMhe Judge Msuya yote hayo ni mapenzi ya Mungu, Tumshukuru kwa kila jambo. Jipe moyo uendelee kumtukuza aliyekuumba na ampumzishe William mahali pema peponi. Ernest Mnzava
ReplyDeleteR.I.P bro will..u will be miss'd dearly, pole kwa familia na ndugu wote.
ReplyDeleteJamani this is too much Malasia kunani? watoto wetu mbona wanaisha kwa kufia huko. Hii si bure Tanzania anza kuchunguza kwanini wanakufa kila mara. Mfano wa mtoto wa Marehemu Capt. Mtafungwa aliye kuwa anakuja nyumbani next day kamaliza shule mama katuma ticket then usiku huu kauwawa hamunoni kuna kitu?
ReplyDeleteMdau
jamani wadau tuwekeeni picha ya marehemu jamani. je ni yule first born walikuwa wote botswana????????????? poleni sana wafiwa
ReplyDeleteMdau billey ni yule wa mwisho mkubwa ni hubbie
ReplyDeleteDada yangu, pole sana Mwenzi Mungu akupe farajah katika kipindi hiki cha majonzi.
ReplyDeleteAmeen