Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akimpa mkono wa pole Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Jaji Upendo H. Msuya aliyefiwa na mwanaye aliyekuwa nchini Malaysia, mwili wa marehemu William H. Msuya unatarajiwa kupokelewa leo Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa saa saba mchana kwa ajili ya mazishi, wa pili kutoka kulia ni Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu na Majaji wa Mahakama ya Rufani (T) (picha na Mary Gwera, MAHAKAMA YA TANZANIA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Duh poleni sana wafiwa, Uncle Ray Pop junior kwa niaba yangu please nifikishie salam zangu za pole kwa familia yote ya mzee mugamba. I knew billey since he was a little boy pale magorofa ya saruji/interchick and I was your neighbor. Very sad for the loss and may God take care of you throughout this difficult time and I promise to pray for you all. Amen. R.I.P BILLEY.
    Mdau USA

    ReplyDelete
  2. Mungu amlaze William mahali pema peponi Amen.

    ReplyDelete
  3. Mhe. Jaji Msuya pole nyingi kwako na kwa familia yote. Mungu akutie nguvu na ampumzishe William kwa amani.

    ReplyDelete
  4. Mhe Judge Msuya yote hayo ni mapenzi ya Mungu, Tumshukuru kwa kila jambo. Jipe moyo uendelee kumtukuza aliyekuumba na ampumzishe William mahali pema peponi. Ernest Mnzava

    ReplyDelete
  5. R.I.P bro will..u will be miss'd dearly, pole kwa familia na ndugu wote.

    ReplyDelete
  6. Jamani this is too much Malasia kunani? watoto wetu mbona wanaisha kwa kufia huko. Hii si bure Tanzania anza kuchunguza kwanini wanakufa kila mara. Mfano wa mtoto wa Marehemu Capt. Mtafungwa aliye kuwa anakuja nyumbani next day kamaliza shule mama katuma ticket then usiku huu kauwawa hamunoni kuna kitu?

    Mdau

    ReplyDelete
  7. jamani wadau tuwekeeni picha ya marehemu jamani. je ni yule first born walikuwa wote botswana????????????? poleni sana wafiwa

    ReplyDelete
  8. Mdau billey ni yule wa mwisho mkubwa ni hubbie

    ReplyDelete
  9. Dada yangu, pole sana Mwenzi Mungu akupe farajah katika kipindi hiki cha majonzi.

    Ameen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...