Marehemu Omwana Maria Nestor

Leo tarehe 25.04.2012,Mama yetu mpendwa atakuwa amefikisha Miaka mitano tangu alipotutoka,Kutakuwa na Missa katika kanisa la St. Joseph Cathedral 25.04.2012 Saa Saba Mchana mpaka saa Saba na Nusu. Ndugu jamaa na marafiki wote mnakaribishwa  kujumuika kwa pamoja missa hiyo kanisani hapo.

Sweet Jesus, take this message, to our dear mother up above tell her, how we miss her, And give her our love.

If tears could build a stairway and memories a lane, we’d walk right up to heaven and bring you home again. If love could have saved you, you would have lived forever, but grief is the price we pay for your love.

For everything we shared the dreams, the laughter and the tears, we love you with a special love.

May your soul rest in piece.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MAREHEMU OMWANA MARIA MOLA AKUREHEMU

    KATUNTUNU

    ReplyDelete
  2. Jamani Katuntunu, Jane, Beatrice, Mercy, Nelly and Willie poleni sana. Kikubwa zaidi ni kumwombea Omwana Maria apumzike salama. Our thoughts and prayers are with you. Sarah from Kyazi/U.S.A

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...