Mwanamuziki wa kizazi kipya Suma Lee mwenye wimbo unaotamba Bongo wa Hakunaga ambao umeshinda tuzo ya wimbo bora kwenye Kili Award akivinjali mitaa ya New York City muda mfupi baada ya kuwasili jijini humo.
 Suna Lee (kulia) akiwa Dean Nyalusi mitaa ya kati Times Square, Suma Lee yupo njiani kuelekea Columbus, Ohio kwenye shughuli za Kimuziki
 Suma Lee (shoto) akiwa na mwenyeji wake NY Ebra mitaa ya Tines Square New York City.
 Suma Lee akiwa mitaa ya New York City

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hakunaga, hakunaga, hakunaga!!!

    Isije ikawa hakunaga ndio ikawa kimoja 'hakunaga kurudi Bongo' baada ya kufanikiwa kuingia Unyamwezini au siyo?

    ReplyDelete
  2. Watajuaje?

    ReplyDelete
  3. Umekwivaaaaaaaaaaa Star!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...