Home
Unlabelled
MACHINGA WA KIMAASAI TOKA TANZANIA NA KENYA WASAKAMWA NCHINI ZAMBIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Angalia haya maoni kutoka kwa wananchi wa UK kuhusu wahamiaji haramu:
ReplyDeletehttp://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/4260813/Penniless-illegal-but-UK-wont-let-immigrants-leave.html
halafu jiulize ni kwanini kuna kelele kama hizi duniani?
well done to NCC,walipie working permit,ili wasisumbuliwe.
ReplyDeleteAhhh nini?
ReplyDeleteHawa wa Zambia wanataka kusema nini hapa, mbona wao wanafanya biashara Tanzania bila vizuizi?
Wakoloni wametuachia majeraha ambayo sifikiri kama yatapona, na hata kama yatapona tutakuwa na makovu milele.I am talking about colonial boundaries that we still recognise and respect. Mimi mbantu nikienda Zambia na mtu akiniita ni foreigner, I will get very hurt.Zambia, Malawi Congo etc kwangu ni nyumbani tu.This is the land of our ancestors.
ReplyDeleteMnaona Wazambia wanavyotetea maslahi yao? Sisi Watanzania tunawakumbatia WAGENI walioingia nchini kinyemela kuuza bidhaa zao na kuuwa biashara ya WAZAWA.Muda wa kutetea UZAWA na wazalendo halisi.
ReplyDeleteHii kali.Mimi sioni tatizo la hawa Masai kuwa huko..tatizo wafuate taratibu za kufanya biashara huko Zambia..Mimi ninavyowafahamu hawa Masai hapo utasikia wapo Kitwe..Chingola..Nkana..Mufurira hadi Kasumbalesa..Pale Kasumbalesa nawashauri wasivuke kuingia Lubumbashi(DRC)..vinginevyo ndiyo utakuwa mwisho wa Maisha yao.
ReplyDeleteMdau umenikumbusha Ndola..Long time aise lakini Kitwe ndiyo 'Funga kazi'
David V
Halafu wameanza Tabia za ajabu hawa jamaa..wamejaa Daresalaam eti wanauza dawa za kuongeza......wanatembeza kisirisiri
ReplyDeleteWao wapo Tanzania Kibao Mbeya hapo na Dar wanauza biashara zao hatusemi kitu kweli Ubaguzi upo hapa hapa Barani kwetu Africa kiasi ndomana tunabaguliwa nje.
ReplyDeleteCOLUMN ya katikati Paragraph ya chini: ''A Zambian cannot go to their country and start selling on their streets''
ReplyDeleteHawa jamaa mbona watu wao wamezagaa Kariakoo nzima wanafanya shughuli tena za kuingiza pesa nyingi tu zaidi ya hayo Malapa wanayouza Wamasai huko kwao?
Duhhh Wazambia jealousy sana,
ReplyDeleteWao wanaendesha biashara za mizigo ya bidhaa kutoka China wakiwa Tanzania tunawaachia leo wanawabana Wamasai huko kwao na biashara ya Kandambili?
Wamasai wa Kenya na Tanzania hawana Kosa kufanya Biashara huko Zambia ni vile wao wanatokea Tanzania nchi member wa SADC ambayo hata Zambia wapo, au hao Wakenya si pia ni member wa COMESA ambayo Zambia na Kenya ni wanachama?
ReplyDeleteMara nyingi Viongozi wa Mamlaka za nchi zetu hizi hawana Uelewa wa masuala ya Non-Tariff Barriers (NTB), Common Market Protocol (CMP) na Regional Integration(RI)
Wazambia mbona hawana uwezo wa Kisanaa wa kutengeneza kazi za mikono kama Wamasai wanavyotengeneza hizo bidhaa?
ReplyDeleteWazambia hawajui Perfect Market Structures!
Wazambia ni wanyanyasaji sana kwa wageni, hasa ukipata tatizo upelekwe polisi hata kwa kosa dogo watakutesa hata kukuua kabisa. Kumbukeni madereva wa malori waligoma kwenda zambia mwaka jana mwanzoni kutokana na unyanyasaji wao.
ReplyDeleteNyinyi Watz wenyewe hamufuati sheria ndiyo maana munawawachia hao Wazambia kufanya wanavyopenda hapa nchini bila ya hata kulipa kodi.
ReplyDeleteKwa wenzetu bado sheria zipo.
ha ha ha David V tushitue basi mshikaji huko KITWE kuna nini na sisi tuende ??? wewe tu umetesa kila pahala juzi juzi tu ulikuwa Senegal na ukaona wenzetu wanavyopiga kura kistaarabu. Zebedayo
ReplyDeleteMimi nilifanya kazi Zambia 1989. Wazambia ni washenzi sana kwa wageni. Hamna kuwatetea eti wanatetea maslahi yao. Kama wageni ni tatizo basi kwa nini 70% ya wakazi wa Dubai ni wageni na Dubai imezipita nchi ZOTE za kiafrika kiuchumi kwa zaidi ya miaka 100? Huo ugonjwa wa kuchukia na kuogopa wageni unaitwa xenophobia na maradhi ya kisaikolojia-jamii ("socio-psychological neurosis").
ReplyDeleteWazambia ni mijitu minafiki. Hapa Dar wamejaa tele, huko Lubumbashi Congo ndiyo usiseme. Ukiwa foreigner mzungu Zambia utapigiwa magoti lakini ukiwa mmatumbi mwenzao ni karaha na mateso matupu. We Africans are our own worst enemies.
ReplyDelete