Tafadhali pokea taarifa hizi kama zilivyoandikwa katika gazeti la “Sunday Times” la Zambia la tarehe 15 Aprili 2012 kuhusu kusakamwa kwa “Machinga wa kimasai” nchini Zambia.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Angalia haya maoni kutoka kwa wananchi wa UK kuhusu wahamiaji haramu:
    http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/4260813/Penniless-illegal-but-UK-wont-let-immigrants-leave.html
    halafu jiulize ni kwanini kuna kelele kama hizi duniani?

    ReplyDelete
  2. well done to NCC,walipie working permit,ili wasisumbuliwe.

    ReplyDelete
  3. Ahhh nini?

    Hawa wa Zambia wanataka kusema nini hapa, mbona wao wanafanya biashara Tanzania bila vizuizi?

    ReplyDelete
  4. Wakoloni wametuachia majeraha ambayo sifikiri kama yatapona, na hata kama yatapona tutakuwa na makovu milele.I am talking about colonial boundaries that we still recognise and respect. Mimi mbantu nikienda Zambia na mtu akiniita ni foreigner, I will get very hurt.Zambia, Malawi Congo etc kwangu ni nyumbani tu.This is the land of our ancestors.

    ReplyDelete
  5. Mnaona Wazambia wanavyotetea maslahi yao? Sisi Watanzania tunawakumbatia WAGENI walioingia nchini kinyemela kuuza bidhaa zao na kuuwa biashara ya WAZAWA.Muda wa kutetea UZAWA na wazalendo halisi.

    ReplyDelete
  6. Hii kali.Mimi sioni tatizo la hawa Masai kuwa huko..tatizo wafuate taratibu za kufanya biashara huko Zambia..Mimi ninavyowafahamu hawa Masai hapo utasikia wapo Kitwe..Chingola..Nkana..Mufurira hadi Kasumbalesa..Pale Kasumbalesa nawashauri wasivuke kuingia Lubumbashi(DRC)..vinginevyo ndiyo utakuwa mwisho wa Maisha yao.

    Mdau umenikumbusha Ndola..Long time aise lakini Kitwe ndiyo 'Funga kazi'

    David V

    ReplyDelete
  7. Halafu wameanza Tabia za ajabu hawa jamaa..wamejaa Daresalaam eti wanauza dawa za kuongeza......wanatembeza kisirisiri

    ReplyDelete
  8. Wao wapo Tanzania Kibao Mbeya hapo na Dar wanauza biashara zao hatusemi kitu kweli Ubaguzi upo hapa hapa Barani kwetu Africa kiasi ndomana tunabaguliwa nje.

    ReplyDelete
  9. COLUMN ya katikati Paragraph ya chini: ''A Zambian cannot go to their country and start selling on their streets''

    Hawa jamaa mbona watu wao wamezagaa Kariakoo nzima wanafanya shughuli tena za kuingiza pesa nyingi tu zaidi ya hayo Malapa wanayouza Wamasai huko kwao?

    ReplyDelete
  10. Duhhh Wazambia jealousy sana,

    Wao wanaendesha biashara za mizigo ya bidhaa kutoka China wakiwa Tanzania tunawaachia leo wanawabana Wamasai huko kwao na biashara ya Kandambili?

    ReplyDelete
  11. Wamasai wa Kenya na Tanzania hawana Kosa kufanya Biashara huko Zambia ni vile wao wanatokea Tanzania nchi member wa SADC ambayo hata Zambia wapo, au hao Wakenya si pia ni member wa COMESA ambayo Zambia na Kenya ni wanachama?

    Mara nyingi Viongozi wa Mamlaka za nchi zetu hizi hawana Uelewa wa masuala ya Non-Tariff Barriers (NTB), Common Market Protocol (CMP) na Regional Integration(RI)

    ReplyDelete
  12. Wazambia mbona hawana uwezo wa Kisanaa wa kutengeneza kazi za mikono kama Wamasai wanavyotengeneza hizo bidhaa?

    Wazambia hawajui Perfect Market Structures!

    ReplyDelete
  13. Wazambia ni wanyanyasaji sana kwa wageni, hasa ukipata tatizo upelekwe polisi hata kwa kosa dogo watakutesa hata kukuua kabisa. Kumbukeni madereva wa malori waligoma kwenda zambia mwaka jana mwanzoni kutokana na unyanyasaji wao.

    ReplyDelete
  14. Nyinyi Watz wenyewe hamufuati sheria ndiyo maana munawawachia hao Wazambia kufanya wanavyopenda hapa nchini bila ya hata kulipa kodi.

    Kwa wenzetu bado sheria zipo.

    ReplyDelete
  15. ha ha ha David V tushitue basi mshikaji huko KITWE kuna nini na sisi tuende ??? wewe tu umetesa kila pahala juzi juzi tu ulikuwa Senegal na ukaona wenzetu wanavyopiga kura kistaarabu. Zebedayo

    ReplyDelete
  16. Mimi nilifanya kazi Zambia 1989. Wazambia ni washenzi sana kwa wageni. Hamna kuwatetea eti wanatetea maslahi yao. Kama wageni ni tatizo basi kwa nini 70% ya wakazi wa Dubai ni wageni na Dubai imezipita nchi ZOTE za kiafrika kiuchumi kwa zaidi ya miaka 100? Huo ugonjwa wa kuchukia na kuogopa wageni unaitwa xenophobia na maradhi ya kisaikolojia-jamii ("socio-psychological neurosis").

    ReplyDelete
  17. Wazambia ni mijitu minafiki. Hapa Dar wamejaa tele, huko Lubumbashi Congo ndiyo usiseme. Ukiwa foreigner mzungu Zambia utapigiwa magoti lakini ukiwa mmatumbi mwenzao ni karaha na mateso matupu. We Africans are our own worst enemies.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...