Adina Asia Macheka akitambaa kwenda kwa mama katika Kitchen Party kabambe ilofanyika katika ukumbi wa stesheni ya TAZARA jijini Dar
 Mama akimpokea Adina
 Chozi la furaha
Hata iweje, mtoto kwa mama ni mtoto tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hooow nice! imenitachi jamani...hongera nimeipenda saana. best wishez

    ReplyDelete
  2. Hiyo ya mama na mwana imekaa vizuri mno!Mwenyezi Mungu awaja'alie Baraka tele katika ndoa yao!
    Ma'ansha'Allah Bint ni mzuri,,kwa jina la kizamani ni KIPUSA!
    Ahlam,,,UK

    ReplyDelete
  3. MAMA HUYU AMETOA MACHOZI KWA HISIA KALI KUTOKA ROHONI!INAHUZUNISHA KUMTOA MWANAE.AMWOMBEE TU KWA MUNGU KWANI HATUA HIYO LAZIMA AIPITIE.HONGERA SANA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...