Rais wa Shirikisho la Soka Nchini (TFF),Leodger Tenga (kulia) akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Sekta Binafsi wenye lengo la kusaidia kupiga vita ugonjwa wa Malaria nchini uliofanyika leo kwenye hoteli ya Double Tree By Hilton,Jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mdau Kutoka Mtibwa Suger na Kulia ni Meneja wa Mipango wa Mradi wa COMMIT,Waziri Nyoni.
Meneja wa Vodacom Tanzania wa Mradi wa MWEI,Mwamvua Mlangwa (kulia) akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Sekta Binafsi wenye lengo la kusaidia kupiga vita ugonjwa wa Malaria nchini uliofanyika leo kwenye hoteli ya Double Tree By Hilton,Jijini Dar es Salaam.katikati ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Salim Mwalimu.
Mkutano ukiendelea.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...