Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusomwa kwa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika .
Makongoro akiwapungia mkono wafuasi wa CCM
Makongoro akipongezwa baada ya kushinda kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi katika jimbo la Segerea.
Dkt Mahanga akipongezwa baada ya kusomwa hukumu.JPG akipongezwa baada ya kusomwa hukumu
Mbunge wa Segerea, Makongoro Mahanga akitoka Mahakamani baada ya hukumu kutolewa ya kesi ya kupiga matokeo katika jimbo hilo
Ulinzi nje ya mahakama.JPG Ulinzi nje ya mahakama
Mpendazoe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusomwa kwa hukumu
wafuasi wa Chadema baada ya hukumu
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakiwa nje ya jengo la Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara ambapo kesi hiyo ilitolewa hukumu yake.
Asanteni sana Blog ya jamii kwa taarifa.Peoples' power siyo?
ReplyDeleteDavid V
Mapambano bado yanaendelea, Chadema msivunjike moyo, People's power oyeee!!!!!!!!!!!
ReplyDeletedavid v jamani nahamu ya nikujue weyee? mie niko kipande cha canada uko majuu ipi weye?
ReplyDeleteNi miujiza hii, na kushinda hii kesi pia mbinu zimetumika kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi
ReplyDeletewachaga !
ReplyDeleteHuyu Mpendazoe naye alishinda nini katika kesi yake, maana naona wafuasi wa chama zake wanashangilia na blog haijasema kama ilikuwaje kuhusu huyu mtu..
ReplyDeleteUnayetaka kujua kipande nilipo-atyini@yahoo.com
ReplyDeleteDavid V
Mahakama ndo chombo cha haki,sasa mnatakaje! Mtu ashinde tuuuu hata kama haki si yake!Mwenye haki kapewa,msianze kuchonga.
ReplyDeleteMwacheni Makongoro afanyekazi sasa kiti ni chake subirini 2015.