Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusomwa kwa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika .
 Makongoro akiwapungia mkono wafuasi wa CCM
 Makongoro akipongezwa baada ya kushinda kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi katika jimbo la Segerea.
 Dkt Mahanga akipongezwa baada ya kusomwa hukumu.JPG    akipongezwa baada ya kusomwa hukumu
 Mbunge wa Segerea, Makongoro Mahanga akitoka Mahakamani baada ya hukumu kutolewa ya kesi ya kupiga matokeo katika jimbo hilo
 Ulinzi nje ya mahakama.JPG    Ulinzi nje ya mahakama
 Mpendazoe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusomwa kwa hukumu
 wafuasi wa Chadema baada ya hukumu
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakiwa nje ya jengo la Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara ambapo kesi hiyo ilitolewa hukumu yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2012

    Asanteni sana Blog ya jamii kwa taarifa.Peoples' power siyo?

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2012

    Mapambano bado yanaendelea, Chadema msivunjike moyo, People's power oyeee!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2012

    david v jamani nahamu ya nikujue weyee? mie niko kipande cha canada uko majuu ipi weye?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2012

    Ni miujiza hii, na kushinda hii kesi pia mbinu zimetumika kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2012

    wachaga !

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2012

    Huyu Mpendazoe naye alishinda nini katika kesi yake, maana naona wafuasi wa chama zake wanashangilia na blog haijasema kama ilikuwaje kuhusu huyu mtu..

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2012

    Unayetaka kujua kipande nilipo-atyini@yahoo.com

    David V

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2012

    Mahakama ndo chombo cha haki,sasa mnatakaje! Mtu ashinde tuuuu hata kama haki si yake!Mwenye haki kapewa,msianze kuchonga.

    Mwacheni Makongoro afanyekazi sasa kiti ni chake subirini 2015.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...