![]() |
HAYATI WILLIAM WIRON NGODOKI |
Leo umetimiza mwaka mmoja tangu ututoke ghafla.
Unakumbukwa sana na mkeo mpendwa Mary Caroline Ngodoki, watoto wako, wajukuu zako, mama yako, Mkweo, wadogo zako, Ndugu, Jamaa na Marafiki.
Raha ya milele umjalie Ee Bwana,
na mwanga wa milele umwangaze.
na mwanga wa milele umwangaze.
Apumzike kwa amani.
AMINA
2 Timotheo 4: 7-8
AMINA
2 Timotheo 4: 7-8
Missing you dad, May your soul rest in peace.
ReplyDeletePoleni familia ya Marehemu.
ReplyDeleteHuyu bwana namkumbuka alikuwa Captain timu ya mpira. wa timu yetu ama Dodoma Alliance (Mazengo Sec) au Tabora Boys, na prefect kwenye 1969/1970. He was a real gentleman, an accomplished athlete and a natural leader. Unfortunately fursa ya kumpa sifa hizo mwenyewe haipo tena. Mwenyezi Mungu amrehemu! Amen.
Nawapeni pole tena familia....
RiP Mzee wetu, Bado tunakumbuka busara zako, uchangamfu wako na uhiari wako kwa kila rika, bwana alikupenda zaidi yetu, tunafarijika kukukumbuka kwa yote uliyotujengea na kutufundisha namna ya kuishi na kila mmoja kwa kujishusha, hakika ulikuwa mfano adhimu! Jina la bwana lihimidiwe.
ReplyDeleteMashaka, H. A.
shark_ham@yahoo.co.uk
Ameen...
ReplyDeleteNi mipango ya Mungu lakini kibinadamu inauma sana. nilimpenda sana Mzee wangu na Kaka yangu Wiron Ngondoki.
ReplyDeleteRaha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amina
Baba umeniachia donda ngudu,maishani,hadi Mungu atakapotukutanisha tena.Naumia tu kwa kushindwa kukusindikiza.NAKUOMBEA ,HADI siku bwana atakapotukutanisha tena.Mwanga wa milele akuangazie eebwana,upunzike kwa amani.
ReplyDeleteI miss you daddy
ReplyDelete