Luteni Abdulkadir Manambi Choka akipiga goti kuomba chanda cha pete cha  Bi Amina binti Shaaban Sato Kinondoni Block 41 jijini Dar es salaam katika pamvu iliyofanyika siku ya Jumamosi
 Ni furaha iliyoje kutoa na kupokea pete ya uchumba
Hii hapa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Mwenyeez Mungu awajaaliye kila lenye kheri INSHA ALLAH, katika uchumba wenu mpaka kuja kukhitimisha suala zima la ndoa. Pia awajaaliye mkaishi kwa salama na amani, mpendane, mheshimiane, mvumiliane katika kila hali, awajaaliye kizazi chema na chenye kheri na nyie, awaepushe na kuwanusurisha na mabaya yote na kwa kila jema awakurubishe nalo. Nimeipenda mandhari nzima katika hizo picha, inaonyesha 'family' zote mbili zimejengeka katika misingi na maadili mazuri 'kiimani'. Kila la kheri Bw. Abdulqadir na Bi Amina.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2012

    wana OBAY oyeeeee

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2012

    Jamani huu utamaduni umeanza lini? Hivi washenga hakuna tena siku hizi? Hii sio mila na desturi zetu tunaiga ughaibuni. Tutunze mila zetu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2012

    huyu kijana wa kijiji cha mwanalomwe.. safi sana Ndoa idumu na mungu awabariki ila hatutapenda kama ikiwa ndoa ya mikataba

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2012

    huyu kijana wa kijiji cha mwanalomwe.. safi sana Ndoa idumu na mungu awabariki ila hatutapenda kama ikiwa ndoa ya mikataba

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2012

    Kaka mwenyezi mungu anapenda mwenye kujitaidi kweli hatuwezi kufuata maamrisho yake yote pamoja na sunna za bwana mtume SAW tujitahidini japo pale tunapotaka au kufanya jambo ambalo linaashiria phase muhimu ya maisha yetu hapa duniani tufuate taratibu sahihi za bwana mtume S.A.W kinyume ya haya kaka hipo siku naamini tutaanza kutafuta wachawi kwenye ndoa zetu ingalikuwa hakuna ila wenye tu ndio wa kulaumiwa. Kila la akhera na ndoa na maisha ya ndoa yenye furaha na watoto wema in shaa allah.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2012

    Abdu sasa umepata binti mzuri kama Amina, mtunze na muenzi. Nawatakia kila la kheri. Amin. Afande.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2012

    waisalam wanavalishana pete kwani....na kama vipi na iweje haya ni mambo ya mapagani


    usipende kuiga ulizia kwanza kama ni muislam

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2012

    Mashallah

    Mdau Abdu na Bibie Amina HONGERENI SAAANA !!!

    Isipokuwa Afande Ustaadh Abdu, kama ulivyopiga goti uwe mnyenyekevu ktk ndoa na kamwe usituangushe kwa kuwa 'Mwamba kwenye Ndoa' hapo baadae, Mpende Mkeo na Mkeo akupende!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2012

    DADA HUYOO KASHAOLEWA, MAHARIIIII ISHATOLEWA.
    HONGERA BIBIE UMEPATA HANDSOME BOY. FULL KUJIACHIA. WISH YOU ALL THE BEST FOR JOURNEY TO NEW LIFE.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2012

    Hongera Abdu, Wana obay oyeee... bado George Mkono na Mussa!! sasa Luteni kwani ni luteni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...