Luteni Abdulkadir Manambi Choka akipiga goti kuomba chanda cha pete cha Bi Amina binti Shaaban Sato Kinondoni Block 41 jijini Dar es salaam katika pamvu iliyofanyika siku ya Jumamosi
Ni furaha iliyoje kutoa na kupokea pete ya uchumba
Hii hapa...
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwenyeez Mungu awajaaliye kila lenye kheri INSHA ALLAH, katika uchumba wenu mpaka kuja kukhitimisha suala zima la ndoa. Pia awajaaliye mkaishi kwa salama na amani, mpendane, mheshimiane, mvumiliane katika kila hali, awajaaliye kizazi chema na chenye kheri na nyie, awaepushe na kuwanusurisha na mabaya yote na kwa kila jema awakurubishe nalo. Nimeipenda mandhari nzima katika hizo picha, inaonyesha 'family' zote mbili zimejengeka katika misingi na maadili mazuri 'kiimani'. Kila la kheri Bw. Abdulqadir na Bi Amina.
ReplyDeletewana OBAY oyeeeee
ReplyDeleteJamani huu utamaduni umeanza lini? Hivi washenga hakuna tena siku hizi? Hii sio mila na desturi zetu tunaiga ughaibuni. Tutunze mila zetu.
ReplyDeletehuyu kijana wa kijiji cha mwanalomwe.. safi sana Ndoa idumu na mungu awabariki ila hatutapenda kama ikiwa ndoa ya mikataba
ReplyDeletehuyu kijana wa kijiji cha mwanalomwe.. safi sana Ndoa idumu na mungu awabariki ila hatutapenda kama ikiwa ndoa ya mikataba
ReplyDeleteKaka mwenyezi mungu anapenda mwenye kujitaidi kweli hatuwezi kufuata maamrisho yake yote pamoja na sunna za bwana mtume SAW tujitahidini japo pale tunapotaka au kufanya jambo ambalo linaashiria phase muhimu ya maisha yetu hapa duniani tufuate taratibu sahihi za bwana mtume S.A.W kinyume ya haya kaka hipo siku naamini tutaanza kutafuta wachawi kwenye ndoa zetu ingalikuwa hakuna ila wenye tu ndio wa kulaumiwa. Kila la akhera na ndoa na maisha ya ndoa yenye furaha na watoto wema in shaa allah.
ReplyDeleteAbdu sasa umepata binti mzuri kama Amina, mtunze na muenzi. Nawatakia kila la kheri. Amin. Afande.
ReplyDeletewaisalam wanavalishana pete kwani....na kama vipi na iweje haya ni mambo ya mapagani
ReplyDeleteusipende kuiga ulizia kwanza kama ni muislam
Mashallah
ReplyDeleteMdau Abdu na Bibie Amina HONGERENI SAAANA !!!
Isipokuwa Afande Ustaadh Abdu, kama ulivyopiga goti uwe mnyenyekevu ktk ndoa na kamwe usituangushe kwa kuwa 'Mwamba kwenye Ndoa' hapo baadae, Mpende Mkeo na Mkeo akupende!
DADA HUYOO KASHAOLEWA, MAHARIIIII ISHATOLEWA.
ReplyDeleteHONGERA BIBIE UMEPATA HANDSOME BOY. FULL KUJIACHIA. WISH YOU ALL THE BEST FOR JOURNEY TO NEW LIFE.
Hongera Abdu, Wana obay oyeee... bado George Mkono na Mussa!! sasa Luteni kwani ni luteni?
ReplyDelete