Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Ltd, Henry Machoke (wa pili kulia), akikabidhi mifuko 100 ya saruji kwa Kaimu Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Dar es Salaam (Serikali za Mitaa), Method Mkoba ikiwa ni msaada uliotolewa na shirika hilo kupitia kitengo cha huduma kwa jamii kwa ajili ya wahanga wa mafuriko wanaoishi katika kambi ya Mabwepande nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Wahanga hao, Khalid Msuya, Meneja Masoko wa NIC, Adelaida Muganyizi na (Kulia) ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa NIC, Elisante Maleko. 
Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Ltd, Henry Machoke (wa pili kulia), akifafanua jambo baada ya kukabidhi mifuko 100 ya saruji kwa Kaimu Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Dar es Salaam (Serikali za Mitaa), Method Mkoba (wa tatu kushoto), ikiwa ni msaada uliotolewa na shirika hilo kupitia kitengo cha huduma kwa jamii kwa ajili ya wahanga wa mafuriko wanaoishi katika kambi ya Mabwepande nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Wahanga hao, Khalid Msuya, Meneja Masoko wa NIC, Adelaida Muganyizi na (Kulia) ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa NIC, Elisante Maleko.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2012

    Kumbe NIC bado ipo, ni moja kati ya mashirika machache yaliyobaki aliyoanzisha baba wa taifa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2012

    baba deborah fatukobonye upo......

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2012

    NIC HONGERENI, KUMBE BADO MNA UKWASI MZURI KUFIKIA KUTOA MISAADA, MBONA BASI HAMTULIPI BIMA ZETU ZILIZOIVA (MATURE) MUDA MREFU. BIMA TUMEANZA KULIPIA KTK MIAKA YA 1980s ZIMEIVA 2005 HADI LEO HATUJALIPWA, MPAKA SASA PESA YENYEWE HAINA THAMANI KULINGANISHA NA HIYO MIAKA. JITAHIDINI KULIPA KILA BIMA ILIYOIVA. AHSANTENI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...