Home
Unlabelled
ujumbe mwanana toka UDOM leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zile hela za mikopo za kuanzia 1994 na kuendelea zinazorudishwa sasa hivi zinaingia kwenye kikapu kipi na je zinawafikia hawa vijana?
ReplyDeleteDavid V
kwa kweli hali ni mbaya tena zaidi ya mbaya.hivi ninyi mnaohusika kwanini hamtoi taarifa kwa wanafunzi - hii sijui ndo utawala bora au?
ReplyDeleteWadau imefikia hatua wanafunzi hawawazi kusoma au kujibu assignment bali wanawaza watakula nini, mbaya zaidi mkijaribu kwenda utawala au loan board kuulizia mnafukuzwa chuo na kuitwa CHADEMA au mnashawishiwa na CHADEMA.
Sipendi maana sijui tunatengeneza wasomi wa aina gani kwa mustakabali wa Taifa letu ambao wanasoma ktk mazingira haya, hawawezi kudai au kuomba haki yao kwa KUOGOPA KUFUKUZWA, ndio maana hata viongozi wetu leo wanaingia mikataba mibovu kwa kushinikizwa bila kuhoji,wafanyakazi hawapati haki yao na wako kimya HII KWELI NI UHURU NA AMANI KWA ADABU YA NIDHAMU YA UWOGA tuliyowekewa.
Hela zenu, sisi walipa kodi mbona hatusemi kitu. Mkimaliza shule elimu mnaiacha huko huko, mnaondoka na cheti na karatasi za kuandamana kama hizo.
ReplyDeleteHaki yenu imetoka wapi? What did you contribute so far?
ReplyDelete