Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2012

    Zile hela za mikopo za kuanzia 1994 na kuendelea zinazorudishwa sasa hivi zinaingia kwenye kikapu kipi na je zinawafikia hawa vijana?

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2012

    kwa kweli hali ni mbaya tena zaidi ya mbaya.hivi ninyi mnaohusika kwanini hamtoi taarifa kwa wanafunzi - hii sijui ndo utawala bora au?
    Wadau imefikia hatua wanafunzi hawawazi kusoma au kujibu assignment bali wanawaza watakula nini, mbaya zaidi mkijaribu kwenda utawala au loan board kuulizia mnafukuzwa chuo na kuitwa CHADEMA au mnashawishiwa na CHADEMA.
    Sipendi maana sijui tunatengeneza wasomi wa aina gani kwa mustakabali wa Taifa letu ambao wanasoma ktk mazingira haya, hawawezi kudai au kuomba haki yao kwa KUOGOPA KUFUKUZWA, ndio maana hata viongozi wetu leo wanaingia mikataba mibovu kwa kushinikizwa bila kuhoji,wafanyakazi hawapati haki yao na wako kimya HII KWELI NI UHURU NA AMANI KWA ADABU YA NIDHAMU YA UWOGA tuliyowekewa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2012

    Hela zenu, sisi walipa kodi mbona hatusemi kitu. Mkimaliza shule elimu mnaiacha huko huko, mnaondoka na cheti na karatasi za kuandamana kama hizo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2012

    Haki yenu imetoka wapi? What did you contribute so far?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...