Home
Unlabelled
umbea wa kaka nathan mpangala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii umeipatia kweli.
ReplyDeleteDo not be too negative if you need to bring change.....Tutakuwa walalamikaji mpaka lini?
ReplyDeleteGive the alternatives and solutions to our problems na siyo kila siku negative views. Mbona hao jiorani wamehalalisha mpaka gongo na kila siku watu wanakufa kwa kuzidiwa na hizo pombe?
Mdau wa Mwanza
hii ni kweli. Baa zinaendena na nyumba za ibada.
ReplyDeletekwa kweli sisi tumezidisha kuendekeza mashindano ya urembo,mpira wa miguu ambao hatuna mafanikio yoyote yale, na bongo flava. ELIMU hatuna habari nayo kabisa. hata hapa michuzi blog ni mara chache sana kuleta habari zinazohusiana na masuala ya elimu.
ReplyDeleteWe mdau wa Mwanza ina maana we ni mmoja wa wenye Bar, ni kweli ss tumezidi, kila kona bar, guest, na kuwaweka dada zetu uchi kushindania urembo, but look hayatufaidi sana ukimwi unaongezeka na hospitali hatuna, shule tulizonazo ni ghali kwani haziko nyingi. zingekuwa nyingi bei ingepungua. Pole kwa kuambiwa ukweli
ReplyDelete