Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2012

    Hii umeipatia kweli.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2012

    Do not be too negative if you need to bring change.....Tutakuwa walalamikaji mpaka lini?
    Give the alternatives and solutions to our problems na siyo kila siku negative views. Mbona hao jiorani wamehalalisha mpaka gongo na kila siku watu wanakufa kwa kuzidiwa na hizo pombe?

    Mdau wa Mwanza

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2012

    hii ni kweli. Baa zinaendena na nyumba za ibada.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2012

    kwa kweli sisi tumezidisha kuendekeza mashindano ya urembo,mpira wa miguu ambao hatuna mafanikio yoyote yale, na bongo flava. ELIMU hatuna habari nayo kabisa. hata hapa michuzi blog ni mara chache sana kuleta habari zinazohusiana na masuala ya elimu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2012

    We mdau wa Mwanza ina maana we ni mmoja wa wenye Bar, ni kweli ss tumezidi, kila kona bar, guest, na kuwaweka dada zetu uchi kushindania urembo, but look hayatufaidi sana ukimwi unaongezeka na hospitali hatuna, shule tulizonazo ni ghali kwani haziko nyingi. zingekuwa nyingi bei ingepungua. Pole kwa kuambiwa ukweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...