Wajasimali pamoja na wadau wa mpango wa Fanikiwa kibiashara wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kubadhiwa kwa mfano wa hundi yenye jumla kiasi cha zaidi ya milioni 250 ambapo wajasimali hao ndio walioweza kufikia malengo yao chini ya mpango huo ambao upo chini ya sekta binafsi hapa nchini (TPSF),katika hafla fupi iliyofanyika leo Jijini Arusha.
Mfano wa hundi ambayo wamepewa wajasiamali hao ambao wapo 86 mapema leo jijini Arusha.


maneno ya kiasi tofauti na tarakimu katika kibox au ndo changa la macho? Inamaana benki imeajiri watu wasiyo makini?sasa sahihi ni ipi?
ReplyDeletehivi kila siku Arusha Arusha mbona sisikii haya mambo yanafanyika mtwara? hii nchi hii kuna ukanda saana hii na watu wa sehemu fulani wanaonekana bora kuliko wa sehemu nyingine ipo siku itafahamika
ReplyDeletenakuunga mko mdau wa hapo. vile vile hata kwenye hicho kibox haitakiwi kuandika neno la million. Kwani inatakiwa tarakimu tu.
ReplyDeleteni hayo tu
ni mimi
Mr Nyamaimewahi Kunikabashingoni