Mkurugenzi wa TAKILUKI,Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza na washiriki wa warsha ya utayarishaji wa zana za kufundishia Kiswahili kwa wageni katika ukumbi wa Chuo Kikuu Cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA).
Mkurugenzi wa mradi wa swahili flagship Zanzibar,Amanda Lichtens akifahamisha jambo katika warsha ya utayarishaji wa zana za kufundishia Kiswahili kwa wageni katika ukumbi wa SUZA.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya utayarishaji wa zana za kufundishia Kiswahili kwa wageni katika ukumbi wa SUZA.PICHA NA RAMADHAN ALI - HABARI MAELEZO ZANZIBAR.
Yeah hao ndio wataalamu wa kiswahili, hasa kiswahili asili yake ni unguja mjini lakini sasa hivi kina changamoto nyingi ikiwemo ambao sio waswahuli kuingiza maneno yasiyo na mantiki au wakati mwengine matusi kwa wanaojuwa kiswahili.
ReplyDeleteMfano eti kifirio ni kichongeo au pakuwa maana yake download haya ni matusi ambayo kwa mswahili hawezi kuyaongea mbele ya mtu anaemstahi
"SUZA its time to grow"