Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Richard Masika(kulia) akisalimiana na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Masaki Okada kabla ya Kutembelea maeneo mbalimbali ya Chuo
Balozi wa Japani nchini,Mhe. Masaki Okada akipokea Maelezo kuhusu Ujenzi wa Maabara ya upimaji maji na Udongo kutoka kwa Mkuu wa Chuo, Dkt. Richard Masika
Akiwa kwenye maabara ya Upimaji Udongo
Anakipokea maelezo kuhusu ATC- Campus Irrigation Demonstration plot
Balozi akitazama Mtambo wa Kufua umeme uliombuniwa na Chuo cha Ufundi Arusha
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...