Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2012

    Hats off for Dr F.Murad for his 1998 Nobel Prize in Physiology or Medicine,his research demonstrated that nitroglycerin and related drugs works by releasing nitric oxide (NO) into the body, which acted as a signaling molecule in the cardiovascular system making blood vessels dilate.I have not come any independent Randomised Control Trial that shows benefits of using these supplements though.
    If one eats well, and exercises regularly, at least 30 minutes a session, five times a week, in my humble opinion all these supplements are a waste of money,except for people with malabsorption syndromes, but again this is a multimillion dollars bussiness (nutritional supplements), no wonder even among us Drs we have different opinions.
    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2012

    Watu wajihadhari dawa amabazo hazijafanyiwa utafiti wa kutosha, ambazo hutangazwa kama tiba au prevention alternative..kwa kuwa zinaweza kukuletea athari nyingi mwilini.Mpaka sasa hivi, ugonjwa wa Moyo, is the number one killer disease in USA...hawajagundua dawa yoyote ya kuzuia au kuponyesha.Na kisukari hali kadhalika, dawa zinasaidia control ya insulin( wakati umeshakua mgonjwa). My advice, ukitaka kupunguza risk ya maradhi hayo ni kufanya mazoezi, kuangalia uzito wako, kula diet nzuri na kuomba Mungu. Matangazo ya aina hii ni kupotesha jamii.Mdau USA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2012

    I agree with you Dr Bitozi, there is a trend in the world for people to prefer to pop a pill than doing any work. In Bongo if you exercise in Uswahili unaulizwa sasa mazoezi ni kung'ang'ania ujana au vipi? unataka kujikondesha ili uwe miss? mbona umri umekwenda. There is a mentality that exercise is for certain kind of individuals but not everyone. It is sad.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2012

    Very clever way of misleading vulnerable sufferers of troublesome medical problems.Misleading them in one way and leading them towards augmenting someones bank balance.In medicine its unethical to advertise.Furthermore diabetes and blood pressure cant be cured(with our current knowledge)PERIOD.This here is just an ambush for daylight robbery.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2012

    ila watu waendelee kuona matangazo ya MALT na pombe, ndio nzuri. Wewe Daktari gani mbona husemi pombe ni No. Killer na watu waache kunywa. Mtu anatangaza biashara kama inavyotangazwa MALT sijasikia hata siku moja daktari akisema katika hii blog kwamba hiyo sio nzuri. Wacha choyo. Watu tuliambiwa tuache nazi, kwa kuwa ina cholestrole. Siku hizi nasikia wazungu wanakula nazi kama hawana akili kwa sababu imegunduliwa kuwa nazi haina cholesterol. Tena ni dawa ya Alzheimer na mafuta ya nazi ni dawa. Msitufanye wajinga.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 01, 2012

    Huku wanataka kuwafanya guinea pigs as usual. Waafrika aamkeni msitumiwe jielimisheni,kisukari hakina tiba bali control by pills,insulin,diet,lifestyle kama no alcohol,exercise,hygiene etc. Please huyo dr. Wa wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...