Bwana Franco Ruhinda akiwa na mkewe Ajuna Reguza wakionyesha cheti chao cha ndoa mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Makuburi jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2012

    Have a nice marriage my sister, your brother Rogers

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2012

    Na Mungu awabariki. Mkumbukeni Yeye na muombeni. Mpendane, mzae watoto na mchume mali kwa wingi.
    Hongereni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...