Home
Unlabelled
hair designer (sio kinyozi) abdallah bitebo akiwa kazini magomeni lango la jiji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapa ndio Mu-afrika Hair disgner sio Kinyozi ndio nini? Mtu akijasiunanyoa nywele? Ndio yaleyale mfanyakazi wa Bar Barman kusema yeye sio muudumu wavinywaji yeye ni Mixology ili aonekane akisema hivyo kazi yake ionekane kama Daktari aliyesoma.
ReplyDeleteWACHENI MAPEPE KAZI NI KAZI TU MUHIMU SIO HARAMU. MZ
michuzi asante sana kwa kutuonyesha kitu kizuri kama hichi. lo saloon za dar kumbe ni nzuri hivi. wenye saloon nyingine za huku first world wakiziona wataona aibu.
ReplyDeletekaka michu naomba nitoe malalamiko yangu mimi ni mdau wako naishi Zambia kaka hili wimbi la wanaume wa zambia kupashwa tohara linatuathiri sisi kina mama tukale wapi? hatari kubwa hii wiki ya pili shemeji yako anauuguza na hapa mtaani kote kina baba mambo ndio haya. naomba ushauri kaka
ReplyDeleteUnajisikiaje kuwaona wenzako wa chini ya mti vinyozi na wewe designer!?! wote mnahudumia nywele...vinyozi vinyozi tu! Acha dharau na kujisifu kusikoenda shule kaka! Kila mtu riziki yake hupangiwa na mwenyezi Mungu! Si vibaya kuheshimu kazi za wenzio...mpanda ngazi ndugu yangu!!!
ReplyDeleteEddy
Van.
Mimi nakukubali kaka, kazi yako ukiipenda unai appreciate. It is about creativity you put in the job that matters. My sister makes my clothes and every time I wear them in Europe watu wanauliza Dizaina ni nani? She makes them with passion and knowledge and she loves her job. Mambo ya kurudishana nyuma ya kizamani. Sijui mpishi siku hizi wanaitwa ma chef na wanakuwa maarufu kila mahali.
ReplyDeleteWatu mmekazania neno kinyozi tu mmesahau hata kumpa sifa zake. Jamaa anasaloon nzuri sana na inaonekana anafanya kazi vizuri sana nakuunga mkono bisebo wewe sio kinyozi bali ni hair designer.
ReplyDeleteBitebo upo? Kuna siku nilikuja hapo (nikajitambulisha kuwa ni mdau wa Michuzi toka Uholanzi) nikapata huduma na nikakueleza kuwa niliifahamu saloon yako toka kwa Michuzi. Tulieleweshana mambo mengi sana siku hiyo tukisikitika juu ya kumpoteza mwenzetu Kanumba.
ReplyDeleteKila la kheri na wape hi vijana wako wote.
Msisitizo wangu bado uko palepale;
Usafi wa hali ya juu, lugha stahiki na ushauri wa kiafya kwa wateja kuhusiana na huduma mnazotoa hapo.