Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2012

    Hapa ndio Mu-afrika Hair disgner sio Kinyozi ndio nini? Mtu akijasiunanyoa nywele? Ndio yaleyale mfanyakazi wa Bar Barman kusema yeye sio muudumu wavinywaji yeye ni Mixology ili aonekane akisema hivyo kazi yake ionekane kama Daktari aliyesoma.

    WACHENI MAPEPE KAZI NI KAZI TU MUHIMU SIO HARAMU. MZ

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2012

    michuzi asante sana kwa kutuonyesha kitu kizuri kama hichi. lo saloon za dar kumbe ni nzuri hivi. wenye saloon nyingine za huku first world wakiziona wataona aibu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2012

    kaka michu naomba nitoe malalamiko yangu mimi ni mdau wako naishi Zambia kaka hili wimbi la wanaume wa zambia kupashwa tohara linatuathiri sisi kina mama tukale wapi? hatari kubwa hii wiki ya pili shemeji yako anauuguza na hapa mtaani kote kina baba mambo ndio haya. naomba ushauri kaka

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2012

    Unajisikiaje kuwaona wenzako wa chini ya mti vinyozi na wewe designer!?! wote mnahudumia nywele...vinyozi vinyozi tu! Acha dharau na kujisifu kusikoenda shule kaka! Kila mtu riziki yake hupangiwa na mwenyezi Mungu! Si vibaya kuheshimu kazi za wenzio...mpanda ngazi ndugu yangu!!!

    Eddy
    Van.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2012

    Mimi nakukubali kaka, kazi yako ukiipenda unai appreciate. It is about creativity you put in the job that matters. My sister makes my clothes and every time I wear them in Europe watu wanauliza Dizaina ni nani? She makes them with passion and knowledge and she loves her job. Mambo ya kurudishana nyuma ya kizamani. Sijui mpishi siku hizi wanaitwa ma chef na wanakuwa maarufu kila mahali.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 24, 2012

    Watu mmekazania neno kinyozi tu mmesahau hata kumpa sifa zake. Jamaa anasaloon nzuri sana na inaonekana anafanya kazi vizuri sana nakuunga mkono bisebo wewe sio kinyozi bali ni hair designer.

    ReplyDelete
  7. Mteja wa cut & facial scrabJune 24, 2012

    Bitebo upo? Kuna siku nilikuja hapo (nikajitambulisha kuwa ni mdau wa Michuzi toka Uholanzi) nikapata huduma na nikakueleza kuwa niliifahamu saloon yako toka kwa Michuzi. Tulieleweshana mambo mengi sana siku hiyo tukisikitika juu ya kumpoteza mwenzetu Kanumba.

    Kila la kheri na wape hi vijana wako wote.

    Msisitizo wangu bado uko palepale;
    Usafi wa hali ya juu, lugha stahiki na ushauri wa kiafya kwa wateja kuhusiana na huduma mnazotoa hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...