Ilikuwa ni Bonge la Surprise kwa mwana dada Theo Chanda (laiyeshika keki) kutoka Precison Air pale alipo shushiwa keki ya Birthday wakati wa mlo wa mchana katika Hoteli ya Kitalii ya Chaminuka iliyopo umbali Kilometa 48 kutoka mjini Lusaka na iliyo zungukwa na Hifadhi binafsi ya Wanyama iliyo na ukumbwa heka 10,000. Pichani ni Theo akiwa na wadau pamoja na Balozi wetu nchini Zambia Mama Grace Mujuma (wa pili kushoto)
Theo pamoja baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa Precision Air na wateja wao wapo Lusaka Zambia wakiangalia vivutio mbalimbali vya Utalii baada ya Uzinduzi wa Safari mpya za Shirika hilo Lusaka Dar kupitria Lubumbash.
Theo Chanda akikata keki hiyo
Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Presicion Air, Alfonse Kioko nae alikuwepo. Shoto ni Balozi Grace Mujuma
Theo akiteta jambo na rafiki yake Yvonne Baldwin pia kutoka Precision Air

Mustafa Hassanali nae alitoa pongezi
Mikonzzzzz ya pongezi nayo ilikuwepo toka kwa mdau.
Picha zote na mpiganaji Mroki Mroki
Picha zote na mpiganaji Mroki Mroki

Happy Birthday ya kuzaliwa!,sijaelewa hapo mlikuwa mnamaanisha nini.
ReplyDeleteWE KWELI KILAZA SASA USICHOELEWA NINI HAHAHAHA KWELI WATU VILAZA DUNIANI ..HATA PICHA HUONI?
ReplyDelete