Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki katika hafla fupi iliyofanyika Jumatatu Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bi. Mary Cresent Massay akila kiapo
Bi. Salma Abdi Chande akila kiapo cha kuwa Kamishna katika Tume hiyo
Bw. Evod Paul Mushi akila kiapo kuwa Kamishna wa Tume hiyo
Bw. Sauli Herbert Kinemela akila kiapo
Bw. Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo
Rais Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Milton Makongoro Mahanga katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi
Rais Jakaya Kikwete katika picha na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.
Hii tume kazi yake ni nini? Kumbe Nchi hii kuna vitu vingi bado hatuvijui.
ReplyDeleteHUVIJUI WEWE KWA KUWA SHULE YAKO NDOGO. N TUME YA USULUHISHI MIGOGORO SEHEMU ZA KAZI
ReplyDeleteHongera Evodi..penye juhudi pana mafanikio..nakumbuka ulivyokuwa legal ofcr kwenye law firm tunasaga lami mjini kuserve documents kila chamber!!now u r muheshimiwaa!1tena unaapishwa na Rais duuuuuh
ReplyDelete