Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki katika hafla fupi iliyofanyika Jumatatu Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
 Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bi. Mary Cresent Massay akila kiapo
 Bi. Salma Abdi Chande akila kiapo cha kuwa Kamishna katika Tume hiyo
 Bw. Evod Paul Mushi akila kiapo kuwa Kamishna wa Tume hiyo
 Bw. Sauli Herbert Kinemela akila kiapo
 Bw. Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo
 Rais Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Milton Makongoro Mahanga katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi
Rais Jakaya Kikwete katika picha na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2012

    Hii tume kazi yake ni nini? Kumbe Nchi hii kuna vitu vingi bado hatuvijui.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2012

    HUVIJUI WEWE KWA KUWA SHULE YAKO NDOGO. N TUME YA USULUHISHI MIGOGORO SEHEMU ZA KAZI

    ReplyDelete
  3. Teresa WakiliJune 19, 2012

    Hongera Evodi..penye juhudi pana mafanikio..nakumbuka ulivyokuwa legal ofcr kwenye law firm tunasaga lami mjini kuserve documents kila chamber!!now u r muheshimiwaa!1tena unaapishwa na Rais duuuuuh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...