Nimeweka picha ndogo hapa ili uirushe kwa wengine waone moja ya meli kubwa duniani za muundo wa roro ambayo imetingia bandarini Dar es salaam asubuhi ya leo. Hapo ni wakati inafunga nanga Mombasa port.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2012

    Hii picha mna uhakika nayo kweli? Maana hii ni container ship na hapo si Mombasa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2012

    Jamaa anatu beep tu. Kamba sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2012

    Hatujazaliwa Jana OK!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2012

    naona mdau unakenua tu meli kubwa ,meli .
    meli kubwa imekuja kuchukua nini?.unawezakutafakali hilo ? watu wachome mafuta yao toka huko walikotoka na muda wao ,hivi hivi kuwapüatia ninyi fahari ya macho ?
    Tafakari kisha zinduka ,

    ReplyDelete
  5. Halafu mbona ni ya kawaida tu ina ukubwa gani hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...