Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2012

    Mdau asante kwa maelezo yako mazuri.Nilikuwa naomba utajar jina la chuo ili kiweze kutusaidia na sisi tulioo Tanzania.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2012

    Aminia kamanda wangu. Tupo wengi tu tunaofuata nyendo zako.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2012

    Umeongea vizuri. Nimejifunza kitu. Safi sana

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2012

    Ndugu yangu Rwegasira wewe ni mfano wa kuigwa.Umeongea vizuri sana na hutakiwi kuishia hapa hapa kwa Vijimambo.
    Kungekuwa kuna uwezekana ukaweza kuwaelimisha wote wanaoishi nje ya nchi,ili wajue kuwa nyumbani ni nyumbani,na walivyoiacha Tanzania ya zamani wala sio ilivyo sasa.
    Watu wengine wamekuja Ulaya vijana mpaka wamezeekea huku,na wala hawana mawzo ya kurudi wala kuekeza nyumbani.
    Nakutakia kila la Kheri,na uendelee kuwa na moyo huwo huwo wa kujali waTZ wenzako,,Nina matumaini ukirudi Bongo vijana wengi watapata ajira kupitia kwako.
    Mwenyezi Mungu akuongoze katika malengo yako hayo mazuri mno!

    Ahlam,,,London

    ReplyDelete
  5. Nimefurahi kusikia kuwa upo,,nilifika UDSM pale smartcard nikaulizia kikazi hakukua na contact zako.Naamini ukirudi tutafutane kaka mimi Abdalah Kileo.Pia natumaini ukija utakuja ukiwa umejiweka sawa na technologia na wengi wa waTanzania watafaidika kupitia kwako.

    ReplyDelete
  6. Ntwa KatuleJune 20, 2012

    Haya kaka I like your vision. We have a lot of opprtunities bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...