Home
Unlabelled
MWANA-DIASPORA ALI RWEGASIRA ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mdau asante kwa maelezo yako mazuri.Nilikuwa naomba utajar jina la chuo ili kiweze kutusaidia na sisi tulioo Tanzania.
ReplyDeleteAminia kamanda wangu. Tupo wengi tu tunaofuata nyendo zako.
ReplyDeleteUmeongea vizuri. Nimejifunza kitu. Safi sana
ReplyDeleteNdugu yangu Rwegasira wewe ni mfano wa kuigwa.Umeongea vizuri sana na hutakiwi kuishia hapa hapa kwa Vijimambo.
ReplyDeleteKungekuwa kuna uwezekana ukaweza kuwaelimisha wote wanaoishi nje ya nchi,ili wajue kuwa nyumbani ni nyumbani,na walivyoiacha Tanzania ya zamani wala sio ilivyo sasa.
Watu wengine wamekuja Ulaya vijana mpaka wamezeekea huku,na wala hawana mawzo ya kurudi wala kuekeza nyumbani.
Nakutakia kila la Kheri,na uendelee kuwa na moyo huwo huwo wa kujali waTZ wenzako,,Nina matumaini ukirudi Bongo vijana wengi watapata ajira kupitia kwako.
Mwenyezi Mungu akuongoze katika malengo yako hayo mazuri mno!
Ahlam,,,London
Nimefurahi kusikia kuwa upo,,nilifika UDSM pale smartcard nikaulizia kikazi hakukua na contact zako.Naamini ukirudi tutafutane kaka mimi Abdalah Kileo.Pia natumaini ukija utakuja ukiwa umejiweka sawa na technologia na wengi wa waTanzania watafaidika kupitia kwako.
ReplyDeleteHaya kaka I like your vision. We have a lot of opprtunities bongo.
ReplyDelete