Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zanzibar Mohd Ali Mwalim huko katika mkutano Mkuu wa Wastaafu hao Bwawani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wastaafu wa Jumuiya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zanzibar huko katika mkutano Mkuu wa Wastaafu hao Bwawani Zanzibar.
Miongoni mwa Wastaafu wa Jumuiya ya Muungano wa Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar hayupo pichani wakati alipokutana nao huko Bwawani Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein wakatikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zanzibar huko katika mkutano wa Jumuiya hio Bwawani Mjini Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...