Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia Mhe. Hani Moninah alipofika Ofisini kwake kumtembelea leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda makimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Sudan Mhe. Dkt. Yassir Mohamed Alli alipomtembelea Spika Ofisini kwake leo. Balozi huyo alifika Ofisini kwa Mhe. Spika kuwasilisha barua kutoka kwa Spika wa Bunge la Sudan Mhe. Ahmed Ibrahim Ali- Tahir yenye ombi la kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Sudan kutembelea Tanzania kwa ziara ya mafunzo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimuaga Balozi wa Jamhuri ya watu wa Saharawi Mhe. Brahim Salem Biget alipofika ofisini kwake leo na kufanya nae mazungumzo.Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge.
ANKAL rekebisha HEADING kuna herufi umeruka, ni MABALOZI sio 'MALOZI'
ReplyDeleteNi hilo tu... nakutakia kazi njema
JJ
Arusha
Nchi yetu siku hizi watu wanatupenda,wanatutembelea mara kwa mara
ReplyDelete