Wanafunzi wa Shule za Sekondari zilizopo nje kidogo ya Mji wa Morogoro,wakiwa juu ya gari lililokuwa limeshekeni mchanga wakiwa wamepewa lifti ili waweze kurejea majumbani mwao wakati wa kutoka shule jana mchana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2012

    Jamani usafiri ni watabu sana nyumbani,hasa wanafunzi kama hao.Inasikitisha sana,wao hawajui madhara yanayo weza kutokea hapo,wanachojali tuu ni kufika home.
    Mwenyezi Mungu awakinge na kila lolote baya.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 19, 2012

    This driver should be arrested immediately this is absolutely illegal!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2012

    viongozi wa kesho hao,lakini taifa wala haliwajali wanachojali ni kufisadi mali za taifa na kujitajirisha na familia zao.
    Wao wanasahau kuwa walisomeshwa na serikali mpaka elimu za juu.
    Viongozi mnatakiwa kupayback to the community.
    Mnang'anga'ania madaraka mpaka mnakufia kazini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...