Home
Unlabelled
Wanafunzi juu ya lori
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani usafiri ni watabu sana nyumbani,hasa wanafunzi kama hao.Inasikitisha sana,wao hawajui madhara yanayo weza kutokea hapo,wanachojali tuu ni kufika home.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu awakinge na kila lolote baya.
This driver should be arrested immediately this is absolutely illegal!!
ReplyDeleteviongozi wa kesho hao,lakini taifa wala haliwajali wanachojali ni kufisadi mali za taifa na kujitajirisha na familia zao.
ReplyDeleteWao wanasahau kuwa walisomeshwa na serikali mpaka elimu za juu.
Viongozi mnatakiwa kupayback to the community.
Mnang'anga'ania madaraka mpaka mnakufia kazini.