Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda (kushoto) akipokea zawadi ya keki iliyoandaliwa na wafanyakazi wa ofisi ya Bunge katika kuazimisha miaka 63 ya kuzaliwa kwake mjini Dodoma. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HEPI BESDEI TU YUUU!

    Mheshimiwa hukongi, wang'ara mithili mwari,
    Kumbe ni wa siku nyingi, umbile bado ngangari,
    Hiyo na mingine mingi, akujalie QAHARI,
    Hongera pongezi nyingi, 'SITINATATU' kujiri.

    "HAPP BIRTHDAY" MH. SPIKA BI ANNE MAKINDA. MOLA akulinde, akujaaliye kila lenye kheri, maisha mema ya salama na amani, pia akuongezee umri zaidi ya huo - AMEN.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2012

    Aisee bado 7 tuuu utinge 70 hongera sana kwa kudunda. Ndo uzuri wa kuwa na mihela uzeeki haraka make mawazo ni kidogo sana. Unawaza tu utumie vp sio uzipate vp. HAPPY BIRTHDAY SPEAKER. UNGEKUWA KIJIJINI UNGEKUWA BIBIIIIIIIIII HAAA HAAAA HERI YA KUZALIWA

    ReplyDelete
  3. Nakutumia salamu za heri na pongezi kwa kutimiza miaka sitini na tatu,Hongera sana muheshimiwa Spika bado busara zako zinahitajika ili kuweza kulivusha taifa hili na mashaka yanayolikabili. Mungu akupe afya na siha iliyo njema. Happy Birth Day Mama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...