Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda (kushoto) akipokea zawadi ya keki iliyoandaliwa na wafanyakazi wa ofisi ya Bunge katika kuazimisha miaka 63 ya kuzaliwa kwake mjini Dodoma.
Home
Unlabelled
HEPI BESDEI YA KUZALIWA MHE SPIKA ANNE MAKINDA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HEPI BESDEI TU YUUU!
ReplyDeleteMheshimiwa hukongi, wang'ara mithili mwari,
Kumbe ni wa siku nyingi, umbile bado ngangari,
Hiyo na mingine mingi, akujalie QAHARI,
Hongera pongezi nyingi, 'SITINATATU' kujiri.
"HAPP BIRTHDAY" MH. SPIKA BI ANNE MAKINDA. MOLA akulinde, akujaaliye kila lenye kheri, maisha mema ya salama na amani, pia akuongezee umri zaidi ya huo - AMEN.
Aisee bado 7 tuuu utinge 70 hongera sana kwa kudunda. Ndo uzuri wa kuwa na mihela uzeeki haraka make mawazo ni kidogo sana. Unawaza tu utumie vp sio uzipate vp. HAPPY BIRTHDAY SPEAKER. UNGEKUWA KIJIJINI UNGEKUWA BIBIIIIIIIIII HAAA HAAAA HERI YA KUZALIWA
ReplyDeleteNakutumia salamu za heri na pongezi kwa kutimiza miaka sitini na tatu,Hongera sana muheshimiwa Spika bado busara zako zinahitajika ili kuweza kulivusha taifa hili na mashaka yanayolikabili. Mungu akupe afya na siha iliyo njema. Happy Birth Day Mama.
ReplyDelete