Mtoto Ahmed Bakari ambae anaulemavu wa akili na ambae alieshinda Mashindano ya Watoto wenye Ulemavu wa Akili katika mbio za Mita 400 na kunyakua Medali ya Dhahabu katika mashindano hayo ya Dunia yaliofanyika huko Athens Ugiriki.akisimama mbele ya Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.na kusalimia Wajumbe hao.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akiwasilisha Hotuba ya Makadirio Mapato na Matumizi ya Wizara hio huko katika Baraza la Wawaklilishi la Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mifugo,Uwezeshaji,Habari na Utalii Asha Bakari akitoa taarifa ya Kamati hio kuhusu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo huko katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi wakisikiliza Michango mbalimbali ya Wajumbe wa Baraza hilo huko mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...